VIDEO: Kilichoendelea leo kwenye mwenge wa uhuru

Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema leo Julai 20 amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongole ambapo utazunguka...

Wabunge watatu wajitosa sakala la kina Kinana

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, siku chache baada ya kuwavaa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana, Wabunge wengine...

RC Ayoub awapa nasaha Mahujaji

Waislamu nchini wametakiwa kutekeleza ibada ya hijja kwakila mmoja mwenye uwezo kwani hija ni nguzo muhimu na ni  moja kati ya nguzo tano...

Picha: Waziri Mkuu apokea Treni ya mizigo na kuzindua safari za mizigo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amepokea Treni ya mizigo na kuzindua safari za Treni za mizigo katika reli ya Kaskazini.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,...

Sakata la sauti inayodaiwa kuwa ni ya Kinana, Nape yamuibua Lusinde

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameombwa kuliagiza Jeshi la Polisi kumhoji Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kwa madai kuwa wamemtukana Rais...

Mameneja TANESCO watakiwa kuunganisha wateja umeme kwa Tsh. 27,000

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema mameneja wa Shirika la Umeme nchini, (Tanesco) waongeze idadi ya wateja kwa kuwaunganishia huduma ya umeme...

Balozi Seif awataka vijana kuacha kuiga desturi za kigeni 

Na Thabit Hamidu,ZanzibarMakami wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi  aliwataka vijana kuacha kuvutika na desturi za kigeni kwa kuacha...

Vibarua waliokuwa wakifanya kazi ujenzi wa reli wala shavu serikalini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa vibarua waliokuwa wakifanya kazi katika  ujenzi wa reli Tanga - Kilimanjaro wapewe ajira na kuwa watumishi.Waziri Mkuu...

Nitamtuma Waziri Jenista Mhagama aje – Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema atamtuma Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Kazi, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista...

Kesi ya kina Kitilya: Mahakama yapokea vielelezo

Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imekubali kupokea nyaraka za mkopo wa dola za Marekani milioni 600 katika kesi inayomkabili Kamishna...

VIDEO: Hakuna mgogoro CCM – Baraza la wazee Dar

Mwenyekiti wa baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mkoa wa Dar es salaam Hemedi Mkali amesema hakuna mgogoro wowote kwenye chama...

VIDEO: Wazee CCM wakutana Dar, watoa tamko kuhusu Rais Magufuli

Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam leo julai 20 wametoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada...

VIDEO: Vituko vya mbunge “Bwege” usipime, lazima ucheke

Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara (CUF) maarufu kwa jina la Bwege amezoeleka kuwa na vituko kila kukicha na kupata bahati ya kukubalika...

VIDEO: Mbunge wa Mchinga amvaa RC Zambi/ Aombe msamaha/ Sitahudhuria vikao vyake

Mbunge wa jimbo la Mchinga, Hamidu Bobali, Ijumaa hii kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mipingo, Lindi, amemcharua mkuu wa...

Uzinduzi safari ya treni Tanga – Kilimanjaro kuleta neema

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella amesema uzinduzi wa safari ya treni ya mizigo kutoka Tanga hadi Moshi mkoani Kilimanjaro utafungua fursa...

Picha: Waziri Mkuu atembelea Shamba la katani la Hassan Sisal Estate

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika katani  iliyokua imeanikwa, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa...

Umoja wa Machinga watakiwa kuwa na mshikamano

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Dkt. Bashiru Ally amelitaka Shirikisho la Umoja wa wamachinga nchini Taifa (SHIUMA)kuzingatia mshikamano miongoni mwao ili kukabili...

Waliovamia Msitu wa kijiji waonywa

Na Ahmad Mmow, LindiSerikali wilayani Kilwa, mkoa wa Lindi imewaonya wakulima na wafugaji waliovamia na kufanya shuguli za ufagaji na kilimo katika msitu...

Wananchi wa Singida washindwa kujizuia wambeba Mbunge wao

Wananchi wa Kitongoji cha Kaugeri Kata ya Mwaru katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida wameshindwa kujizuia furaha yao na kujikuta wakimbeba...

Kunambi atoa neno kwa Shirika la umoja wa Machinga

Shirika la umoja wa Machinga Tanzania limetakiwa kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Mafuguli kutaka Machinga...

Stay connected

20,949FansLike
2,394FollowersFollow
2,060FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

AUDIO | Gabby de Talent – NIPOKEE | Download

0
Home Audio AUDIO | Gabby de Talent – NIPOKEE |...

JINSI YA KUEPUKA MAUDHI YA DAWA

0
Matibabu ya magonjwa mbalimbali yanahusisha matumizi ya dawa kama nyenzo muhimu katika kufikia lengo la tiba stahiki.Katika kutumia dawa, kuna nyakati ambazo kunatokea maudhi...

AUDIO | Stamina Ft Barnaba – Safina | Download

0
DOWNLOADListen to Stamina Ft Barnaba – Safina byDJ Mwanga on hearthis.at   The post AUDIO | Stamina Ft Barnaba – Safina | Download appeared first on...