WALI NAZI….5

0
Muda nao haukuwa nyuma, jua liliwaka kitendo cha kumaliza tu kuoga na kuvaa niljikuta na tweta na jacho kama ile ya awali. Kwa namna nilivyokuwa nimechoka, haikuwa ikinipa kero sana maana hata maumivu hayakuwa yakisikia kwenye mwili wangu. Lakini safari hii joto lilikuwa likishemsha damu yangu mithiri ya maji yashemshwapo. Nilipiga hesabu ya kwenda kufanya […]

Fahamu Tabia za WANAWAKE Wanaopenda Sana Pesa

0
1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima.Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu […]

WALI NAZI….6

0
Niliingia ndani ya uwanja nikipokelewa na kinywa chake na mimi sikuwa nyuma nilipelekea changu, mwendo ulikuwa wa kubadilishana mate. Mate aliyokuwa matamu ajabu...

WALI NAZI….4

0
Niliaamua kumwaga George ambaye wazi alikuwa bado anahamu ya kufahamu yale yalikuwa kwenye lile darasa letu la kiutu uzima huku akihitaji zaidi kuzijiua mbinu za wali nazi. Mbinu ambazo zilikuwa ndio silaha yangu kubwa kwenye mambo haya ya kikubwa, ilikuwa zikinipa ushindi mbele ya mwanamke wa aina yoyote yule awe mwembamba awe mnene kwenye wali […]

WALI NAZI…3

0
Ilipoishia.Nilipiga hatua kadhaa kabla ya kuelelekea mahali ilipo kiofisi cha staff yani ya wafanyakazi wa chini ndani ya ofisi ile. Wakati nikipiga hatua nilihisi kama mtu ananiita nilipunguza mwendo kidogo kabla sijageuka. SONGA NAYO. Hakuwa mwingine alikuwa ni George sauti yake ilivyosikika tu nilijuwazi ni yeye kabla hata sijapindua shingo yangu na kutazamana na George […]

WALI NAZI….2

0
Nilipiga hatua mpaka kuingia ndani ya chumba cha bafu lile na kuanza kujimwagia maji nilinyanyua makopo kadhaa kabla ya kusikia ngoo! ngoo! Iliyonifanya nigune, kuashiria kuwa mahali pale tayari kumechukuliwa nafasi. Hizi ndio tamaduni mpya nilizokuwa nimezianza kuzielewa baada ya kuishi ndani ya nyumba ile ya kupanga. Mguno ule ulinyamazisha mgongaji na mimi nikaendelea kufanya […]

WALI NAZI….1

0
Sehemu Ya Kwanza (1) Watu wengi wananitambua kwa jina la Fundi Mzee wa wali nazi, lakini majina yangu halisi nilipopewa na wazazi wangu ni Kuzeni mtobowe. Ahsante sana ndugu muandishi kwa kunipa nafasi ya mimi kuelezea mkasa wangu wa maisha, hakika utakuchombeza na kufundisha kwa namna moja ama nyingine mpenzi msomaji.________Kwichi kichwi zilikuwa ni kelele […]

Hatua 10 Muhimi za Kumchagua Mchumba Mtakae Funga Ndoa

0
Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni. Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa maisha ndiyo inayowaponza […]

UNAVYOWEZA KUTUMIA SIMU KUBORESHA PENZI

0
TUNAISHI katika dunia ya utandawazi ambapo sasa karibu kila mtu anamiliki simu, hata wale wenye uwezo wa chini kabisa. Ukijaribu kufuatilia, matatizo mengi yanayotokea katika uhusiano wa kimapenzi, yanachangiwa sana na hizi simu za mkononi.  Ni rahisi sana kwa watu waliokuwa wanapendana sana kujikuta wakiwa kwenye mgogoro mkubwa kwa sababu tu meseji ya kimapenzi imeingia kwenye simu […]

SHOGA USIWE JUU JUU KAMA NYAMA YA BUCHANI

0
 UNANISHA-NGAA wakati umeshindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti maji weyeee! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga na ukitaka kujua embe lipo tofauti na papai fika mwishoni kwenye kokwa, upo nyonyo?  Shoga kuna watu hawana tofauti na chafya, wakikutoka unashukuru unasema asante tena na mikono miwili na kichwa unanyoosha juu! Wengine wanajitia wapo juu […]

FAHAMU MADHARA YA PUMU KWA WAJAWAZITO

0
TAFITI kadhaa zimeonesha kuwa takribani theluthi moja ya wajawazito wenye pumu hupata nafuu kipindi cha ujauzito, theluthi nyingine hupata matatizo kipindi hiki na theluthi iliyobakia huwa na hali ya kawaida kama kabla ya ujauzito.  Kwa kawaida dalili za pumu hujirudia kama awali miezi mitatu baada ya kujifungua. Dalili za pumu kwa mjamzito zinaweza kuwa mbaya zaidi kuanzia […]

Hizi Ndio Tabia za Mabinti Kutoka Familia Njaa/Maskini

0
Kama mada inavyojieleza Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:- 1.Wanapenda sana kuigiza maisha ,yani jinsi wanavyojiweka utafikiri ni mtoto wa Dangote au Bill Gate 2.Kupenda vitu vya gharama tofauti na uhalisia wa maisha yake na ya nyumbani kwao-simu atataka amiliki ya laki 3 wakati […]

Je, Unataka Kuishi Maisha ya Amani na Utulivu? Fanya Hivi

0
1. Anza kuwaza vizuri, achana na mawo yanayoumiza hisia weka uzingativu kwenye mambo yanayokupa faraja na yenye kukupa ari ya kujilrtea mandeleo 2. Ondokana na hofu za maisha kwani changamoto ni sehemu ya maisha, ukweli ni kwamba kila chngamoto inayotujia tayari tunayo suluhu na kama hatuna suluhu ya changamoto hiyo basi isingekuja kwetu, utulivu na […]

Sababu za Wanawake Kulia baada ya Kufanya Mapenzi

0
Kulia baada ya kushiriki ngono au kufanya mapenzi ni kawaida na hushuhudiwa sana kwa wanawake, ijapokuwa imesemekana kuwa wanaume hulia pia. Kulingana na wataalam, kuna sababu kadhaa ambazo humfanya mwanamke kulia au kujawa na huzuni baada ya kushiriki ngono, na mojawapo ya sababu hizo ni homoni ambazo mwili wa binadamu hutoa wakati huo. Umewahi kushiriki […]

Mke Wangu Aliniacha na Kwenda kuishi na Mwanamke Mwenzake Sasa Eti Anataka Turudiane

0
Inauma sana jamani, Mke wangu wa Ndoa Nimekaa nae Miaka zaidi ya minne kumbe alikuwa na uhusiano na mwanamke Mwenzake mimi sijui mpaka alipoanza visa ndani ya Ndoa na mwishowe tukaachana , Nikapata stori kuwa anaishi kwa mwanamke mwingine ambae ni mpenzi wake kwa kifupi walikuwa wanasagana…Iliniuma sana ila nikaendelea na maisha kwa sasa nina […]

Mama na Wengine Watatu Wakamatwa na Polisi Baada ya Kukutwa Wakitaka Kumtoa Kafara Mtoto

0
JESHI  la Polisi Mkoani Ruvuma linawashikilia watuhumiwa wanane wakiwemo wanne wa kutoka mkoani Njombe wakitaka kumtoa mtoto mdogo kafara katika mlima Mgwijima wilayani Namtumbo kwa mganga Faraji Panjapi. Watuhumiwa hao, wanne kutoka mkoani Njombe na wanne kutoka mkoani Ruvuma wanashikiliwa na Polisi wilayani Namtumbo kwa kufanya ramli chonganishi na kutaka kumtoa kafara mtoto mdogo. Walikamatwa […]

KILA SIKU UNAKIMBIWA NA WANAWAKE, UMEGUNDUA SABABU?-2

0
TUNAZU-NGUMZA kuhusu mapenzi, kama ilivyo kawaida ya ukurasa huu. Leo namalizia mada yangu niliyoanza wiki iliyopita. Ni kuhusu mambo ambayo wanawake wengi hawayapendi kwa wanaume zao. Inawezekana unashangaa kwa nini wanawake wanakukimbia kila siku, kumbe kuna sehemu fulani huwa unakosea bila kujua. Hapa ndipo kwenye dawa. Ndiyo sehemu pekee utakayoujua ukweli na kuchukua hatua. Katika sehemu […]

OMBA, SALI UMPATE MUME MWENYE TABIA HIZI 6!

0
WIKI hii nitazu-ngumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa lakini bado wanashindwa kutambua yupi ni sahihi na yupi si sahihi kuitwa mume.  Tufahamu kwamba si kila mwanaume unayekutana naye na ukampenda anafaa kuwa mumeo. Wengine wana mapungufu makubwa ambayo bila kuyabaini […]

Jinsi ya Kutambua Kama Chumba cha Hotel Uliyofikia Kimewekewa Camera za Siri

0
HOW TO DETECT A HIDDEN CAMERA IN A ROOM When you stay in a hotel, how do you know there is no room secret pinhole camera?  When you travel to an unfamiliar destination or take a business trip, you stay at a hotel, but you do not know that you could unknowingly be photographed or […]

Mapenzi Sio Vita, Kwanini Tukomoane Kwenye 6X6?

0
Pamoja na uwepo wa manjonjo mengi katika ulimwengu wa mapenzi, kizazi hiki kisichotabirika kimeanza kugeuza tendo kuwa kama uwanja wa vita badala ya starehe inayoweza kumhamisha mtu kifikra mpaka katika ulimwengu wa kusadikika. Vijana wengi wamekua busy kutafuta dawa za kuwafanya wawe na nguvu kupitiliza kanakwamba wanaenda vitani. Wengine wanatamba kwamba akikukamata ni mpaka kivimbe […]

Stay connected

20,949FansLike
2,394FollowersFollow
2,060FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

AUDIO | Gabby de Talent – NIPOKEE | Download

0
Home Audio AUDIO | Gabby de Talent – NIPOKEE |...

JINSI YA KUEPUKA MAUDHI YA DAWA

0
Matibabu ya magonjwa mbalimbali yanahusisha matumizi ya dawa kama nyenzo muhimu katika kufikia lengo la tiba stahiki.Katika kutumia dawa, kuna nyakati ambazo kunatokea maudhi...

AUDIO | Stamina Ft Barnaba – Safina | Download

0
DOWNLOADListen to Stamina Ft Barnaba – Safina byDJ Mwanga on hearthis.at   The post AUDIO | Stamina Ft Barnaba – Safina | Download appeared first on...