AfricaSwahili News

Chombo cha Nasa chajiandaa kuchukua sampuli za mwamba wa sayari ya Mars

Kifaa kidogo chenye ukubwa wa kidole cha mkono, kitafungwa kwenye mrija mdogo kwa ajili ya kurejeshwa hatimaye duniani.

Wanasayansi wanasema ni fursa yao bora ya kubaini iwapo sayari Mars iliwahi kuhifadhi maisha viumbe ni kufanyia uchunguzi sehemu ya juu ya ardhi na miamba katika maabara za kisasa.

Chombo hicho kinachofahamika kama Perseverance kilitua kwenye sayari nyekundu mwezi Februali, kwenye kreta yenye upana wa kilomita 45 (maili 30 ) crater called Jezero.

Vumbi linasababisha ugumu wa kutambua miamba (Picha imechukuliwa kutoka sentimita 35 kutoa kwenye roboti ya NASA)Image caption: Vumbi linasababisha ugumu wa kutambua miamba (Picha imechukuliwa kutoka sentimita 35 kutoa kwenye roboti ya NASA)

Huu ni mkusanyiko wa rangi ya miamba chakavuambayo wanasayansi wanaamini kuwa inawakilisha sakafu ya kreta za sayari ya Mars zinazofahamika kama Jezero.

Picha za setilaiti zinaonesha eneo la chini la mahala ambapo paliwahi kuwa ziwa wakati mmoja , lililojazwa kwa mto wa aina ya delta.

Kitokana na hili, eneo hili linachukuliwa kama eneo ambalo huenda liliwahifadhi viumbe wadogo wa kale – kama walikuwepo.

Roboti ya Nasa imejiendesha Kilomita1 (sawa na futi 3,000) kusini kutoka mahala ambapo ilitua kwa mtindo wa ajabu miezi mitano iliyopita.

Mahala ambapo Chombo ha Perseverance kilitua  kwa mara ya kwanza ni kwenye kreta  ya zamani  katika  sayari ya Mars

Mahala ambapo Chombo ha Perseverance kilitua kwa mara ya kwanza ni kwenye kreta ya zamani katika sayari ya MarsImage caption: Mahala ambapo Chombo ha Perseverance kilitua kwa mara ya kwanza ni kwenye kreta ya zamani katika sayari ya Mars

Nasa inafurahia jinsi chombo cha Perseverance kinavyofanya kazi

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.