in

Cover ya album ya Mbosso #Definition of Love yaonekana Times Square New York Marekani (+ Video)

Ikiwa wengi wanasubiria uzinduzi wa Album ya @mbosso_ #definitionoflove ambapo tukio hilo lilisogezwa mbele kutokana na msiba ingawa @mbosso_ alikuja kuweka wazi kuwa ratiba itatoka baada ya Ramadhani.

Habari kubwa ni kubwa Cover ya Album yake imeokana katika Screen zilizopo katika eneo maarufu zaidi katika jimbo la New York Times Square huku yakiwepo na matangazo mengine pemebeni yakiwemo ya Basketball.

Cleartrip Acquisition by Flipkart Met With Fond Farewells on Indian Twitter

VP felicitates Syria on National Day