in

Diamond na timu yake walivyosaini dili la bilioni 11 na kampuni ya mziiki (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na rais wa Lebo ya @wcb_wasafi , @diamondplatnumz amethibitisha kuwa ameingia dili nono lenye thamani ya Dola za Kimarekani Milion 5 ( Tsh Bilion 11.5 ) na kampuni ya @mziiki, Kwa ajili ya kusambaza kazi za Wasanii wa @wcb_wasafi .

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram Diamond ameandika ujumbe huo ambao sasa unalifanya dili hilo kuwa kubwa zaidi kwa Lebo za muziki za Afrika Mashariki kuingia na Kampuni za kusambaza Muziki.

Makubaliano hayo ya dau nono yanaonyesha ni kwa namna gani muziki wa BongoFleva umekua na thamani kubwa.

Man (25) dies and three others injured in Wexford road collision

Crystal Palace vs Chelsea: Tuchel’s squad for EPL tie confirmed [Full list]