More
  - Advertisement -

  DJ Khaled aliuza jumba lake la kifahari kwa bilioni 30

  -

  - Ad Keep reading below -

  DJ Khaled  ameripotiwa kuliuza jumba lake la kifahari lililopo huko Beverly Hills Marekani kwa kiasi cha $12.5 millioni ambazo ni takribani Sh. Bilioni 30 za Kitanzania.

  Kwa mujibu wa ripoti, #DJKhaled ameuza jumba hilo kwa faida kwani mwaka 2016 alilinunua kwa kiasi cha $9.9 millioni ambazo ni takribani Bilioni 23 kwa thamani ya pesa ya Tanzania.

  - Ad Keep reading below -

  Jumba hilo linatajwa kununuliwa na daktari wa upasuaji David Amron na mkewe Jessica, likiwa na ekari 3 na robo, vyumba 6 vya kulala, mabafu 8, jiko kubwa, gym na mengine mengi ya kuvutia.

  ALSO READ  TSC Advertises 15,000 Jobs for Teachers, How to Apply
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Leaving Cert student not appealing calculated grades ruling

  A student’s decision not to appeal the High Court’s rejection of his lead challenge to the calculated grades model for the Leaving Cert 2020...

  OnePlus Nord N10 5G Getting March 2021 Security Patch With System, Network Improvements in Latest Update

  OnePlus Nord N10 5G is receiving a new OxygenOS update that brings some network and system improvements. The update will be bundled with March...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -