AfricaSwahili News

Dkt. Mpango azindua jengo la Taifa la Takwimu mkoa wa Kigoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizindua Jengo la Taifa la Takwimu Mkoa wa Kigoma. Ujenzi wa Jengo hilo umegharimu shilingi milioni 634.

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango   Akipokea maelezo kabla ya kuzindua  jengo la Taifa la Takwimu kutoka kwa meneja wa TBA mkoa wa Kigoma Julius Chego.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizungumza na wananchi  wa Kigoma eneo la uwanja wa michezo wa Mwanga  – Kigoma Mjini   mara baada ya kuzindua Jengo la Taifa la Takwimu Mkoa wa Kigoma. Julai 16, 2021.

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akisalimianna na viongozi mbalimbali alipowasili katika uzinduzi wa Jengo la Taifa la Takwimu – Mkoa wa Kigoma hii leo Julai 16,2021.

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro. Joyce Ndalichako. Zawadi hiyo ni picha ya ramani ya Kijiji cha Kasumo mahali anapotokea Makamu wa Rais.
PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.