Music

Download | Bahati – Pete Yangu LYRICS Ft. Nadia Mukami

Bahati – Pete Yangu LYRICS Ft. Nadia Mukami

Mi si laver boy incase dont Know no
si lover boy oh no
Mi si lover girl incase you dont know
Si kama yule demu oh No

Na kama njiwa anavyo pepea
Roho yangu unailemea
Kasura pia nako ulipokea
Naona Mungu kakupendelea
Basi nkumbatie hadhalani
Unipe ya chumbani
Weni moto weni moto

Pete yangu
Pete yangu
Pete yangu
Wewe ni kama pete yangu

Pete yangu
Pete yangu
Pete yangu
Wewe ni kama pete yangu

Toka kwa jua njoo kwenye hema
Wamekutesa sana mimi ndio chanda chema
Nawapambe wale wasiopenda mema
Wanatuombea vita CCM, CHADEMA

Yani huu moto hauzimi
Naapa meneno ya uzilimi
Nilishadiki moyo upendavyo wewe
Basi nkumbatie hadhalani
Unipe ya chumbani
Weni moto weni moto

Pete yangu
Pete yangu
Pete yangu
Wewe ni kama pete yangu

Pete yangu
Pete yangu
Pete yangu
Wewe ni kama pete yangu

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.