Katika post ambaye imekuwa kivutio kwa wengi ni hii aliyoipost CEO wa Simba Babra gonzalez ambayo inamuonyesha aliyewahi kuwa mchezaji wa Arsenal, Chelsea, Barcelona na Monaco Cesc Fabregas akimtumia ujumbe CEO huyo wa Simba.

Baada ya post hiyo Babra ameandika ujumbe huu:-

“Good afternoon @cescf4bregas 😁
Thank you for your kind message. I hope to see you in Tanzania soon. I can’t believe it’s been 18 years since you signed for our @Arsenal ❤️ ᴏɴᴄᴇ ᴀ ɢᴜɴɴᴇʀ, ᴀʟᴡᴀʏꜱ ᴀ ɢᴜɴɴᴇʀ.”

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles