Akiongea na wana habari kuelekea show yake ambayo ataifanya katika ukumbi wa Mlimani City siku ya terehe 09/10 siku ya jumamosi Fally ameeleza namna atakavyoitendea haki show yake.

Mbali na hilo Fally Ipupa ametoa ya moyoni kuhusu wasanii anaowakubali Tanzania ambao ni @diamondplatnumz @officialalikiba @barnabaclassic na @vanessamdee pia ameizungumzia ngoma yake na Diamond Platnumz ya Inama na kusema moja ya Collabo kubwa Afrika.

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles