More
  - Advertisement -

  FIFA yaifungia Chad katika michuano ya kimataifa

  -

  - Ad Keep reading below -

  Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limeifungia Chad kushiriki michuano ama michezo yoyote ya kandanda ulimwenguni la baada ya serikali ya nchi hiyo kuingilia kati namna ambavyo shirikisho la soka nchini humo linavyofanya kazi.

  Hatua hii imekuja baada ya waziri wa vijana na michezo kuvunja shirikisho la soka nchini Chad mnamo mwezi Machi.

  - Ad Keep reading below -

  Baada ya tangazo hilo lililotolewa na serikali ya Chad, Shirikisho la Soka Barani Afrika (Caf) liliitoa timu ya taifa katika raundi ya pili ya kufuzu kuingia kombe la mataifa ya Afrika.

  Chad haipo kwenye michuano yeyote ya kimataifa baada ya kuondolewa katika mashindano ya kombe la dunia ya mwaka 2022 na Sudan mwaka 2019.

  - Ad Keep reading below -

  Taarifa rasmi kutoka shirikisho la soka la dunia limesema: “baraza la Fifa linaweza kuondoa marufuku hayo muda wowote kabla ya mkutano ujao wa Fifa na tutatoa taarifa rasmi.”

  ALSO READ  Covid-19 kills 2 ministers, prisons boss in Zimbabwe

  Mkutano ujao unatarajiwa kufanyika mtandaoni Mei 21.

  ALSO READ  Waziri Majaliwa atua Zanzibar kwa ziara ya kikazi
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Welsh language plane announcements ‘risks safety’

  A fresh row over the Welsh language has erupted after travel experts claimed flight safety was being put at risk by new mandatory...

  Deloitte Ireland to create 300 new jobs

  Deloitte Ireland today announced that it will create 300 new jobs in the country in the next year. Job opportunities will be in all...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -