Advertisement Scroll To Keep Reading
AfricaSwahili News

Gumzo laibuka baada ya waziri wa mambo ya nje kufukuzwa kazi Sudan Kusini

Advertisement Scroll To Keep Reading

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemfukuza waziri wa mambo ya nje.

Tangazo la kufukuzwa kazi kwa Beatrice Khamisa Wani Noah lilisomwa katika televisheni ya taifa SSBC majira ya usiku wa Alhamisi.

Advertisement Scroll To Keep Reading

Hakuna sababu iliyosemwa juu ya kufukuzwa kwake.

Nafasi ya waziri huyo amepewa Mayiik Ayii Deng,waziri wa zamani wa masuala ya rais ambaye alikuwa amefukuzwa Juni mwaka jana.

Waziri huyo aliyeondolewa katika nyadhifa yake alikuwa mwanamke wa pili Sudani Kusini kushika nafasi hiyo ya mambo ya nje.

Kuondolewa kwa bi. Khamisa kumezua gumzo mtandaoni kwa wananchi wa Sudani Kusini wa ndani ya nchi na wale walio nje ya nchi.

Baadhi ya watu mtandaoni wameshutumu kufukuzwa kwa mwanamke huyo na kuwekwa mwanaume ni kukiuka makubaliano walioweka ya wanawake kuwa 35% .

 

Advertisement Scroll To Keep Reading

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.