More
  - Advertisement -

  Hali ya afya ya Rais wa Palestina yaanza kuimarika

  -

  - Ad Keep reading below -

  Rais wa Palestina Mahmud Abbas, ambaye amepitia uchunguzi wa kimatibabu nchini Ujerumani,  amearifiwa kuwa yuko katika hali nzuri kiafya.

  Kulingana na ripoti ya shirika rasmi la Palestina la WAFA, uchunguzi wa kimatibabu wa Rais Abbas uliokuwa ukifanyika nchini Ujerumani umekamilika.

  - Ad Keep reading below -

  Ilielezwa kuwa hakugundulika matatizo kwenye matokeo na Abbas alikuwa na afya njema. Maelezo zaidi yalibainisha kuwa Abbas atarejea Palestina hapo kesho.

  Helikopta mbili za majeshi ya Jordan zilitua katika mji wa Ramallah ulioko Ukingo wa Magharibi mnamo Aprili 5 kumchukua Rais Abbas wa Palestina.

  - Ad Keep reading below -

  Ilielezwa kuwa Abbas, ambaye alipangwa kufanyiwa vipimo vya kawaida vya afya nje ya nchi, angepitia Jordan kwenda Ujerumani.

  Abbas, mwenye umri wa miaka 85, alikuwa amefanyiwa uchunguzi wa kimatibabu kwenye hospitali za Ukingo wa Magharibi ulioko chini ya uvamizi, na mji mkuu wa Amman nchini Jordan.

  ALSO READ  Akaunti ya Twitter ya Trump yafungwa kabisa

  ALSO READ  Ikpeazu: Senate should sanction Adeyemi over hate speech – Ohanaeze
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Osinbajo presides as FEC honours late Mahmud Tukur

  The Vice President, Yemi Osinbajo, on Wednesday presided over the weekly Federal Executive Council (FEC) meeting at the Presidential Villa in Abuja. Recall that President...

  Job Opportunities at Tanga-UWASA- Customer Service Assistant

  Leaving Cert student not appealing calculated grades ruling

  A student’s decision not to appeal the High Court’s rejection of his lead challenge to the calculated grades model for the Leaving Cert 2020...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -