Kupitia ukurasa wake wa Instagram @harmonize_tz amepost picha ya cover ya @officialalikiba Insta story na kuandika BIG TUNES akiweka emoji ya kifalme.

@harmonize_tz yupo Marekani kwa sasa kwenye tuor yake na @officialalikiba ameizindua na kuiachia album yake usiku wa kuamkia leo.

Weka comment yako hapa chini.

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles