in

Harmonize aingia studio na Awilo Longomba (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya #KondeGang @harmonize_tz ameingia studio na mkongwe wa muziki kutoka nchini Congo @awilolongomba

@harmonize_tz ameonekana na @awilolongomba wakiwa studio na tayari inaonekana wameshaanza kurekodi.

President Rouhani congratulates Syria on National day

Rapeseed fields in Bojnurd