AfricaSwahili News

Hayati Dkt. Magufuli alikuwa kama refa alikua anachezesha na kai nyekundu tu- Waziri Mwigulu

 “Hayati Dk John Magufuli alikuwa muumini wa kuchukua hatua za papo kwa papo, kama refa wa mchezo wa mpira wa miguu alikuwa akienda kuchezesha mechi zake akiwa na kadi nyekundu tu, kadi ya njano alikuwa anaiacha nyumbani,”

“Ukicheza rafu mara moja unapewa kadi nyekundu, muda mwingine hata asipoiona rafu mwenyewe hata mchezaji au shabiki akiiona rafu akamwambia lazima akuonyeshe kadi nyekundu,”

“Hata mimi niliwahi kupata kadi nyekundu nikakosa michezo kadhaa, Hayati Magufuli aliamini kwenye nidhamu ya hali ya juu ya mchezo” – Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button