Advertisement Scroll To Keep Reading
Michezo (Swahili)Swahili News

Hitimana kuchukua mikoba ya Gomes

Advertisement Scroll To Keep Reading

By Saddam Sadick

Advertisement Scroll To Keep Reading

Kocha Hitimana Thiery raia wa Rwanda amethibitisha kujiunga na Simba na muda mchache ujao atatangazwa rasmi na bingwa huyo mtetezi wa Ligi Kuu Bara.

Thiery alitua siku mbili nchini akitokea kwao Rwanda, ambapo safari yake ilikuwa ni kurudi Mtibwa Sugar aliyokuwa amewahi kuitumikia katikati ya msimu kisha kung’atuka kwa madai ya kutoelewana na wasaidizi wake kwenye benchi la ufundi.

Thiery ameithibitishia Mwanaspoti kuwa tayari ameshamalizana na Wekundu hao na kwamba muda wowote watamtangaza.

Hitimana anachukua nafasi ya Didier Gomes ambaye ametangazwa kutokuwa na sifa za leseni itakayomfanya kuinoa timu hiyo kimataifa.News Source link

Advertisement Scroll To Keep Reading

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.