More
  - Advertisement -

  IGP Sirro aagiza operesheni dawa za kulevya

  -

  - Ad Keep reading below -

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, Tanga, Pemba pamoja na Unguja kisiwani Zanzibar kufanya operesheni ya pamoja kudhibiti makosa ya dawa za kulevya.

  IGP Sirro ametoa maagizo hayo leo akiwa kisiwani Zanzibar ambapo amesema katika kipindi cha miezi mitatu makosa ya jinai yamepungua kwa asilimia 19.1 huku ya usalama barabarani yakipungua kwa asilimia 14.

  - Ad Keep reading below -

  “Bado madawa ya kulevya ni shida lakini makamanda wa mkoa wa Mtwara, Lindi, Tanga, Dar es Salaam na makamanda wote wa Pemba na wa Unguja ni lazima wafanye operesheni za pamoja hili suala haliwezi kutushinda uwezo mkubwa tunao kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama tuwashughulikie sana sana,” amesema IGP Sirro.

  ALSO READ  Watu 16 wauawa Ituri, DRC wakiwemo watoto, UNICEF yalaani

  Pia IGP Sirro amemdelea kusisitiza kwa viongozi wa dini kushirikiana na polisi ili kukabiliana na suala mtambuka la matukio ya udhalilishaji wa kijinsia.

  - Ad Keep reading below -

  “Bado makosa ya uzalilishaji ni suala ambalo ni mtambuka,  jeshi la polisi pekee yake hawawezi wakalimaliza hili tatizo nasisitiza tena viongozi wa dini watusaidie, sheria ni msumeno wewe Sheikh ukifanya kosa sheria ichukue mkondo wake, na Padri akifanya kosa sheria ichukue mkondo wake lakini ni elimu ni msingi sana watu wabadilishe fikra zao,” amesema IGP Sirro.

  ALSO READ  Kogelo Roads Blocked Ahead of Sarah Obama’s Burial

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Job Opportunity at Sanlam Insurance, Financial Advisors

  Financial Advisors  Financial Advisors at Sanlam Life Insurance April, 2021.Life insurance is vital to give you peace of mind that your loved ones’ financial needs...

  Uhuru Declares Vacancies at IEBC

  President Uhuru Kenyatta has declared four vacancies at the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) setting the stage for the replacement of commissioners after...

  Banditry: Gov Matawalle suspends Zamfara District Head

  The Zamfara State government has revealed that the state police command arrested seven serving military officers who were allegedly deeply involved in banditry activities. Muhabarishaji...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -