Rapa Sean Michael Leonard Anderson alimaarufu Big Sean mwenye umri wa miaka 33 kutoka mitaa ya Santa Monica California nchini Marekani siku ya jana alikuwa hot sana mitandaoni baada ya kupost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwaamegandwa na kundi la nyuki wakati ana shoot video yake mpya ya “What A Life”, Big Sean anadai kwamba nyuki hao walikuwa Elfu 65,000 mwilini mwake.

Big Sean ameongeza kusema alikuwa na upendo kwa mzinga wa nyuki, na hataki kufikiria suala hilo kama lilikuwa na athari kwake au ujinga.

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles