Advertisement Scroll To Keep Reading
Swahili News

Iran yaruhusu wakaguzi wa kimataifa kuangalia maeneo nyeti ya nyuklia

Advertisement Scroll To Keep Reading

Iran imekubali kuruhusu wakaguzi wa kimataifa kutumia kamera za ufuatiliaji katika maeneo yake nyeti ya nyuklia na kuendelea kuchukua picha katika eneo hilo kuepuka mivutano ya kidiplomasia wiki hii.

Advertisement Scroll To Keep Reading

Tangazo hilo lilitolewa Septemba 12 baada ya mazungumzo mjini Tehran kati ya Rafael Grossi, mkuu wa idara ya kimataifa ya nishati ya Atomik (IAEA) na Mohammad Eslami, mkuu wa taasisi ya nishati ya Atomic ya Iran.

Mazungumzo hayo yalilenga kupunguza mzozo kati ya Tehran na magharibi, ambayo yanatishia kuongezeka na pia mazungumzo ya kijasusi juu ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya Iran. “Tulikubaliana kuhusu kubadilishwa kwa kadi za kumbukumbu za kamera za idara hiyo”, Eslami alinukuliwa akisema kwa vyombo vya habari vya Iran.

Advertisement Scroll To Keep Reading

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.