More
  - Advertisement -

  Israel yakumbwa na tatizo la uwasilishwaji wa chanjo za Pfizer

  -

  - Ad Keep reading below -

  Israel inadaiwa kukumbwa na tatizo la uwasilishwaji wa chanjo dhidi ya corona (Covid-19).

  Kulingana na taarifa za gazeti la Jarusalem Post, kampuni ya dawa ya Pfizer kutoka Marekani imesitisha kusafirisha chanjo kwenda nchini Israel.

  - Ad Keep reading below -

  Ilielezwa kuwa Israel bado haijalipia dozi milioni 2 za mwisho za chanjo walizoagiza. Usafirishaji wa dozi 700,000 za chanjo, ambazo zinatarajiwa kupelekwa nchini humo siku ya Jumapili, ulilazimika kucheleweshwa.

  Redio ya Jeshi iliripoti kuwa maafisa wa Pfizer wanaichukulia Israel kama “jamhuri iliyokosa msimamo.”

  - Ad Keep reading below -

  Hakukuwa na taarifa yoyote iliyotolewa na mamlaka ya Israel juu ya suala hili.

  Taarifa zaidi zinadai kwamba tatizo la uwasilishwaji wa chanjo na malipo linahusishwa na mvutano wa kuunda serikali mpya nchini humo.

  ALSO READ  Jafo Na Sika Watoa Somo Jinsi Ya Kupiga Kura Kwa Ccm, Kisarawe

  ALSO READ  Miaka 58 ya Uhuru: Babati washeherekea kwa kupanda Miti
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Security forces foil another jailbreak in Edo as inmates beat guards

  The once adjudged most peaceful state in Nigeria, Ogun, is fast losing its grip to banditry, kidnapping, farmers-herders clashes, cultism among others, Muhabarishaji reports. At...

  Headlines of Iran’s Persian dailies on April 15

  TEHRAN, Apr. 15 (MNA) – Mehr News takes a look at the headlines of Iran’s Persian-language dailies on Wednesday, April 15. ...

  The Falcon and the Winter Soldier Episode 5 Trailer Teases a Fight With Captain America

  The Falcon and the Winter Soldier episode 5 is out Friday on Disney+ and Disney+ Hotstar, and Marvel has released a 15-second trailer ahead...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -