Advertisement Scroll To Keep Reading
AfricaSwahili News

Israel yashambulia ngome za kundi la wapiganaji wa Hamas

Advertisement Scroll To Keep Reading

 

Jeshi la anga la Israel limefanya mashambulizi katika ngome za Hamas katika ukanda wa Gaza, ili kujibu shambulio la roketi lililorushwa na kundi la wapiganaji wa Hamas. 

Advertisement Scroll To Keep Reading

Jeshi la Israel limesema ndege zake za kivita zimekishambulia kituo cha mafunzo ya kijeshi ya Hamas, handaki na maghala ya silaha. Ni siku ya pili mfululizo kwa jeshi la Israel kujibu mashambulizi dhidi yake yanayotokea eneo la ukanda wa Gaza. 

Jeshi la Israel IDF, limesema linalilaumu kundi la Hamas lenye kudhibiti ukanda wa Gaza. Mzozo umekuwa ukiongezeka katika mpaka unaotenganisha ukanda wa Gaza na Israel, na kuzua wasiwasi kuwa pande hizo zinaweza kutumbukia tena katika vita va wazi.

Advertisement Scroll To Keep Reading

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.