More
  - Advertisement -

  Karani wa Mahakama ya Mwanzo Magugu hatiani kwa rushwa

  -

  - Ad Keep reading below -

  Na John Walter-Manyara

  Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Manyara Holle Makungu amesema wanamshikilia karani wa mahakama ya mwanzo Magugu Alfred Jackson Ntatirwa kwa  makosa ya kuomba na kupokea rushwa kinyume cha Kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa namba 112007.

  - Ad Keep reading below -

  Makungu amesema Ntatirwa anatuhumiwa kwa kuomba rushwa ya shilingi elfu thelathini kisha kukamatwa na maofisa wa Takukuru akiwa amepokea kiasi hicho cha fedha katika mji mdogo wa Magugu wilayani Babati Aprili 6,2021.

  Imeelezwa kuwa Mtuhumiwa aliomba rushwa hiyo ili amsaidie mmoja wa wadaiwa kumpatia nakala ya hukumu ambapo mdaiwa hakuwa ameridhika na maamuzi yaliyokuwa yametolewa na mahakama ya mwanzo Magugu hivyo alikuwa na nia ya kukatia rufaa maamuzi hayo.

  - Ad Keep reading below -

  Hata hivyo karani huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika.

  ALSO READ  Martyr Soleimani, 'a symbol of bravery, piety'

  Makungu ameufahamisha Umma wa Wakazi wa Mkoa wa Manyara na Watanzania kwa ujumla kwamba, “Jaji mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Profesaa Ibrahim Hamis Juma alikwishatoa maelekezo kwa mahakama zote nchini kwamba tangu machi 6,2018 wadaiwa wote hawatalazimika kulipia tozo ya aina yeyote kuhusiana na nakala za hukumu na maamuzi mbalimbali kwa maana ya (Judgements,Rulings,Orders,Decrees and Drawn Ordres)” alisema Makungu

  ALSO READ  MAREKANI: Watu 72,271 wafariki leo hii kwa corona

  “Maelekezo yanazihusu mahakama kuu,mahakama ya hakimu mkazi, mahakama za wilaya na mahakama za mwanzo. Kwa hiyo ndugu mwananchi ukidaiwa fedha katika hayo niliyoorodhesha fahamu kuwa ni rushwa na unapaswa kutoa taarifa ofisi za TAKUKURU zilizo karibu au kwa kutumia namba yetu ya dharura ambayo ni 113 ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa” Makungu

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Osinbajo presides as FEC honours late Mahmud Tukur

  Leaving Cert student not appealing calculated grades ruling

  A student’s decision not to appeal the High Court’s rejection of his lead challenge to the calculated grades model for the Leaving Cert 2020...

  OnePlus Nord N10 5G Getting March 2021 Security Patch With System, Network Improvements in Latest Update

  OnePlus Nord N10 5G is receiving a new OxygenOS update that brings some network and system improvements. The update will be bundled with March...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -