Darasa Huru

KWANINI WANAWAKE WENGI WANAPOKUWA WAMEOLEWA NA KUZAA MTOTO WAKE WA KWANZA NDIPO HUKENGEUKA?

KWANINI WANAWAKE WENGI WANAPOKUWA WAMEOLEWA NA KUZAA MTOTO WAKE WA KWANZA NDIPO HUKENGEUKA? – Linda Penzi Lako

New

UTAMUZAIDIAPP
Samahani ?Mama zangu kwa kutumia neno “KUKENGEUKA” sina maana mbaya ila nina maana kwamba “KUTOKA KWENYE KAWAIDA NA KUBADILI MTAZAMO”
Asikwambie mtu MAPENZI NDIYO YANAYOJENGA CHUKI NYINGI KULIKO KITU CHOCHOTE DUNIANI… Mwanamke anapokuwa msichana ikumbukwe kwamba anajivunia umwanamke wake kuliko anapokuwa Mama, Mwanamke mahaba ambayo aliyapata USICHANANI wanaume wengi huyaacha baada ya kumuoa na kumzalisha Mwanamke, Kwanini nimesema Mwanamke akizaa ndipo hukengeuka? MWANAMKE KUIKOSA MAANA YA NDOA NA KUZAA BAADA YA MWANAUME KUSHINDWA KUENDELEZA UPENDO WAKE WA AWALI AMBAO ULIMVUTA MWANAMKE! Na shida huanzia miezi mitano ya mimba Kwani wanaume walio wengi hushindwa kuendana na mabadiliko MWILI wa Mwanamke, Mwanamke kuhitaji sana TENDO LA NDOA wakati huo Mwanaume kukosa tena hamu na Mke wake, Chukuwa hali hiyo mpaka akazae na kulea mtoto japo kwa miezi 4 tayari unakuta Mwanamke aliisha jenga chuki moyoni Maana Mwanaume hamjari tena??‍♂ na mbaya zaidi amekosa upendo ambao ulimfanya kuona furaha ya ndoa, Tamaa ya kila MWANAMKE kwenye maisha yake pindi anapokuwa amepevuka ni KUMPATA MWANAUME AMBAYE ATAKUWA NAE MAISHANI MWAKE MWOTE KWA DHIKI NA FARAJA ILA KWA MAANA MOJA KUBWA UPENDO WA DHATI na ndo maana udhaifu mkubwa wa kila msichana ni pale anapokutana na Mwanaume akamtamanisha kumuoa?‍❤‍?
Na udhaifu huo wa Mwanamke umesababisha kila Mwanaume anapomhitaji Mwanamke anatangaza ndoa kitandani??
Kukengeuka kwa Mwanamke kunakuja pindi aonapo Mwanaume wake ameondoka kwenye misingi ya ndoa yao na hapo ndipo MOYO WA MWANAMKE HUHANGAIKA UKITAFUTA KUJINUSURU ole wako Man huyo Mwanamke apate kidumu huko nje UTAJUTAAA??
Kwanza kabisa ujue MAHUSIANO MAPYA NI MATAMU kwa sababu mtu anahitaji mzigo lazima atabembeleza na kupetipeti ili ACHUKUE USHINDI?
Mazoea yamekula ufahamu wa wanaume na kuwasababishia Wanawake kukosa UAMINIFU KWA WANAUME! Na hapo ndipo palipomsababisha Mwanamke kuona NDOA NI HASARA YA MOYO?
Wanawake walioko kwenye MAHUSIANO YA KAWAIDA WANA WALAU AMANI KULIKO WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOA??‍♂
Unajua ni Kwanini? Kwenye mahusiano kila mmoja anakuwa na woga wa kumpoteza mwenzie, Ila kwenye NDOA tayari ni kitanzi Mamaaa??
Mwanamke kusaliti mpaka awe na sababu ila wanaume kusaliti ni kawaida yao, Na hapo ndipo Mwanamke akigundua Mume anamchukulia poa na Kuna akina John/Majid wanabeep beep wallah UTAKUTA MANYOYAAA?
Ndo maana napenda kuwaambia niwapendao kwamba UNAPOTAKA KUOA JITAFAKARI MARA MIA MIA safari hiyo sio ya mchezo, Yaani unapomchukuwa Mwanamke akiwa msichana chunga sana mambo mawili;
WAKATI WA MIMBA.
WAKATI WA KULEA MTOTO.
Usimpoendeleza UPENDO ALIO UZOEA PINDI MNAKUTANA imekula kwako brother?Maana Mwanamke huyo ataishi kungojea azae ili akulipize, Kipindi cha malezi ya mtoto ukijifanya Uko busy atavumilia but akiishaona mtoto amekomaaa MAJIBU YAKE NI HESABU YA KUZIDISHA??
Unajua wingi wa kuzidisha ni nini? NI JIONGEZE??‍♂

Related Articles

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.