More
  - Advertisement -

  Lulu Diva amshangaa Ben Pol kudai talaka kwa Mkewe

  -

  - Ad Keep reading below -

  Bossbaby wa BongoFleva Lulu Diva amesema mapenzi hayana adabu kwa sababu sasa hivi yupo single na anatamani kuingia kwenye mahusiano ila ameshangaa Ben Pol kudai talaka ya kutaka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa na Mkewe Anerlisa Muigai.

  Lulu Diva ametoa kauli hiyo kwenye post yake ya mtandao wa Instagram baada ya kutoka taarifa ya msanii Ben Pol ambayo inasemekana kutaka kufungua shauri la Mahakamai kudai talaka kwa mkewe Anerlisa Muigai ambaye ni Raia wa Kenya.

  - Ad Keep reading below -

  “Ila haya mapenzi hayana adabu mimi nipo single ndio nataka kuingia mara nasikia ndugu yangu Ben Pol anadai talaka anataka kutoka, sasa niache au niendelee kutafuta mpenzi” ameandika msanii Lulu Diva 

  Ben Pol na Anerlisa walifunga ndoa mwishoni mwa mwezi May mwaka 2020 katika Kanisa Katoliki la St. Gaspar Mbezi Beach, Jijini Dar es Salaam.

  ALSO READ  People aged 50 and over in Northern Ireland can book Covid vaccinations

  - Ad Keep reading below -

  ALSO READ  Hiki hapa chanzo cha Simba kumsimamisha Jonas Mkude
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Oduduwa Republic: Tell us your plans for Yoruba Muslims – Islamic group tells agitators

  The Ooni of Ife, Adeyeye Enitan Ogunwusi Ojaja II, has appealed to Nigeria’s Ambassador Designate to Jamaica, Belize, Haiti and Dominican Republic, Dr. Maureen...

  Paraguay’s ‘Life and Death’ Covid Crisis Gives China Diplomatic Opening

  RIO DE JANEIRO — Taiwan has built thousands of homes for the poor in Paraguay, upgraded the country’s health care system, awarded hundreds...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -