By Mwandishi Wetu

Dar es Salaam. Waziri wa Nishati, January Makamba amewateua wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).

Taarifa kwa umma ya leo Jumamosi Septemba 25, 2021 iliyotolewa na Waziri imewataja wajumbe hao ni  Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Gachuma.

Uteuzi huo umeanza leo Septemba 25.

This article Belongs to

News Source link

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles