in

Manchester United yahusishwa na Ronaldo

Manchester United legend Cristiano Ronaldo kwa mara nyingine tena amehusishwa na kurejea Old Trafford baada ya miaka mitatu yakuwa Italia na klabu ya Juventus.

Mshindi huyo mara tano wa Ballon d’Or alijiunga na Juventus akitokea Real Madrid miaka mitatu iliyopita.

Tangu Juve kushindwa kusonga mbele kwenye michuano ya UFA Champions kumekuwa na tetesi kwa nyota huyo kuhusishwa kutaka kuondoka kwa vibibi hivyo vya Turin.

Uhamisho huo Ronaldo unahusishwa na kuondoka kwa kiungo Paul Pogba ndani ya United na kujiunga na Juve ambao bado wanavutiwa na Mfaransa huyo.

Holy month of Ramadan rituals in Iran

Kesi ya uhujumu uchumi kwa watu watatu Tarime