By Emmanuel Mtengwa

More by this Author

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne 2021.

Matokeo ya kidato cha nne haya hapa

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde leo Jumamosi Januari 16, 2022.

https://www.youtube.com/watch?v=JQ2kLVPQ40

Pia Baraza hill limetangaza matokeo ya upimaji wa Kitaifa wa darasa la nne, Kidato cha Pili 2021.

Haya hapa matokeo ya upimaji wa Kitaifa wa darasa la nne

Advertisement

Matokeo ya upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili

This article Belongs to

News Source link

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles