Kocha Msaidi wa Mabingwa wa Nchi Seleman Matola amesema kuwa matokeo ya mchezo uliyopita dhidi ya mtani wao wa jadi ya Yanga yamewaumiza lakini amewaahidi mashabiki kutowaangusha kwenye mchezo wao wa hapo kesho katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/22 dhidi ya Biashara United.

Kuangalia Video bofya HAPA

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles