More
  - Advertisement -

  Mawaziri wa fedha wa nchi za G20 wakutana

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Mawaziri wa fedha wa kundi la nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa kasi kiuchumi la G20 wanakutana leo mjini Roma nchini Italia. 

  Mkutano huo ambao ni wa pili mwaka huu umeandaliwa na mwenyekiti wa sasa Italia kwa njia ya mtandao. 

  - Ad Keep reading below -

  Kwa mujibu wa rasimu ya maazimio ya mkutano huo wakuu wa mashirika ya fedha wanatarajiwa kukubaliana leo kuimarisha hazina katika Shirika la Fedha la Kimataifa IMF kwa dola bilioni 650 na kurefusha sheria inayositisha ulipaji madeni kwa nchi zinazoendelea ili kuzisaidia kukabiliana na janga la corona. 

  Rasimu hiyo iliyoonekana na shirika la habari la Reuters imeonyesha mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa nchi za G20 watasisitiza ahadi yao kupambana na mwenendo wa nchi kujilinda kibiashara na kuimarisha juhudi za kuyakabili mabadiliko ya tabia nchi.

  - Ad Keep reading below -

  ALSO READ  Akwa Ibom: Zone six Police Command deny knowledge of protest by officers over promotion

  ALSO READ  Presidency confirms fire outbreak near Presidential Villa
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Oduduwa Republic: Tell us your plans for Yoruba Muslims – Islamic group tells agitators

  The Ooni of Ife, Adeyeye Enitan Ogunwusi Ojaja II, has appealed to Nigeria’s Ambassador Designate to Jamaica, Belize, Haiti and Dominican Republic, Dr. Maureen...

  AUDIO | Christina Shusho – Wanawake Tunaweza | Download

  Download | Christina Shusho – Wanawake Tunaweza https://dl.soundbykiki.com/uploads/Christina%20Shusho%20-%20Wanawake%20Tunaweza.mp3  ...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -