More
  - Advertisement -

  Mbunifu wa fulana ya Jay Z yenye nembo ya msikiti wa Lamu aomba msamaha (+ Video)

  -

  - Ad Keep reading below -

  Mbunifu wa Marekani aliyetumia picha ya msikiti wa kihistoria uliopo pwani ya Kenya, Lamu katika fulana aliyoivaa nyota wa Marekani Jay-Z aomba radhi.

  - Ad Keep reading below -

  Viongozi wa msikiti wa Riyadha walioghadhabishwa na kupinga kwa fulana yenye msikiti wa Lamu kuvaliwa na msanii HUYO kwa kuhofia kuvaliwa katika sehemu za starehe wameridhia maombi ya msamaha wa mbunifu huyo.

  “Tumekubali msamaha wake kwa kuwa alifanya kwa nia njema,” maofisa wa msikiti wamesema.

  - Ad Keep reading below -

  Mbunifu Zeddie Loky aliripotiwa kutengeneza fulana hiyo ili kuutangaza mji wa Lamu.

  Lamu imetajwa na Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO-kuwa eneo la urithi wa dunia na msikiti huo uliojengwa karne ya 19 ni miongoni mwa vivutio vikubwa.

  ALSO READ  Klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno kubadili jina la uwanja wake na kuandika jina la Ronaldo

  Ni msikiti ulioanza tangu mwaka 1837, ni miongoni mwa taasisi za zamani zaidi za ufundishaji za Kiislamu katika Afrika Mashariki.

  Waumini walipata ghadhabu walipoona picha ya mwanamuziki wa Marekani akiwa amevaa fulana yenye picha ya msikiti wa Lamu katika makundi ya WhatsApp , alisema katibu mkuu wa msikiti huo bwana Abubakar Badawy.

  ALSO READ  Ronaldo ashinda tuzo nyingine kubwa; "Huu ulimwengu unakwenda kasi sana''
  - Ad Keep reading below -

  Bofya hapa chini kutazama.

  https://www.instagram.com/tv/CNZbTzfBqp5/

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Made in Britain – Cheese on Towcest’

  Having been made redundant during the Covid-19 pandemic, Mark Rodgers of Cheese on Towcest’ in Northamptonshire took the plunge and decided to launch...

  EU Commission raises “concerns” over State’s hotel quarantine

  The European Commission has contacted Irish authorities over concerns that mandatory hotel quarantine goes against EU law. The news comes after five EU member...

  WHO Chief Says COVID-19 Infection Rate Approaching Highest of Pandemic So Far | Top News

  GENEVA (Reuters) - The number of new COVID-19 cases per week has nearly doubled globally over the past two months, approaching the highest...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -