Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ameonekana kama vile ametupa dongo gizani kwa watani wao wa jadi Simba SC kwa kile walichokifanya kuposti picha ya mchezaji ambaye anamuonekano wa mwamba wa Lusaka, Clatous Chama ambaye mpaka sasa hakuna taarifa za kuaminika kuwa wamemsajili. ”Mnatishia watu, mnawavalisha maski, mnadanganya,” – Haji Manara Afisa Habari wa Klabu ya Yanga

 

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles