in

Mpira wasimama, wachezaji watumia dakika 10 kula futari (+Video)

Jinsi wachezaji wa klabu Ankara Keciorengucu kutoka nchini Uturuki walivyofuturu dakika ya 10 ya mchezo wao dhidi ya Giresunspor baada ya refa kusimamisha mchezo.

Hivi ni vilabu vya Second division huko nchini Uturuki ambapo tukio hili limevuta hisia za watu wengi sana Duniani.

Kuangalia Video bofya HAPA

Traditional Cambodian Silk Ikat at Risk of Extinction | Muhabarishaji News Agency

Job Opportunity at Frankfurt Zoological Society (FZS), Project Accountant