in

Msanii wa Bongo Fleva Shaa, ajifungua mtoto wa kike, aandika ujumbe huu

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @shaa_tz amethibitisha kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la #NIABELLA Kupitia ukurasa wake wa Instagram @shaa_tz amepost picha yenye mguu wa mtoto na kuandika maneno haya:-

#Repost @shaa_tz with @make_repost
・・・
“Ramadhan imekuja na baraka zake…to God be the glory! Welcome to the World @niabella_tz 💜”

Ikumbukwe @shaa_tz yupo kwenye mahusiano na producer mkongwe wa Bongo Fleva @masterjtz

Hongera sana @shaa_tz pia hongere ziende kwa mkongwe @masterjtz 👏👏👏

WhatsApp ‘Illegal’ Data Collection Halted by German Regulator

Mass Effect: Legendary Edition Comparison Trailer Shows How It Improves on Original Mass Effect Trilogy