More
  - Advertisement -

  Msumbuji yatafufa msaada wa kigeni kupambana na uasi

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Msumbuji imeiambia jamii ya kimataifa aina ya msaada inaohitaji kukabiliana na uasi unaohusishwa na kundi linalojiita Dola la Kiislamu – IS, lakini kwa sababu za uhuru wa nchi itayashughulikia mambo kadhaa ya tatizo hilo bila kusaidiwa. 

  Rais wa Msumbuji Filipe Nyusi ameyasema hayo wiki mbili baada ya shambulizi la wanamgambo wa itikadi kali katika mji wa pwani wa Palma, karibu na miradi ya gesi asilia ya thamani ya mabilioni ya dola ambazo zinapaswa kuuimarisha uchumi wa nchi hiyo ya Kusini mwa Afrika. 

  - Ad Keep reading below -

  Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC inafanya mikutano jana na leo kuzingatia jibu la kikanda kwa uasi huo, wakati Marekani tayari ina timu ndogo ya Vikosi Maalum vya Kijeshi nchini Msumbiji katika ujumbe wa mafunzo.

  ALSO READ  Eskom: Expert fears ‘Stage 8 load shedding’ coming this winter

  - Ad Keep reading below -

  ALSO READ  ATCL ipo tayari kumsafirisha bure anayepumulia mashine
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  AUDIO | Raph Tz Ft. Rich Kiss – Sema | Download

  Download | Raph Tz ft. Rich Kiss –...

  Lukwago’s life out of danger

  Doreen Nyanjura ...

  KDF Soldier Killed in Night Attack on Military Camp

  A Kenya Defence Forces (KDF) officer was on Thursday, April 15, killed by bandits after they raided a military camp in Mukutani at around...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -