Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Hassan Kiandi anakualika utazame video ya kazi yake mpya ya ‘KWETU’ kwa kubofya link hapa chini;

Ukimaliza kutazame usiache kuweka komenti yako kwenye chaneli yake ya YouTube, Pia unaweza kumpa sapoti kwa ku-subscribe kabisa.

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles