More
  - Advertisement -

  Mwamuzi wa mchezo wa Al Ahly v Simba kwa kadi za njano hajambo

  -

  - Ad Keep reading below -

  Mustapha Ghorbal, mwamuzi wa kati mwenye beji ya Fifa anatarajiwa kuwa pilato kwenye mchezo wa hatua ya makundi kati ya Al Ahly dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 9.

  Raia huyo wa Algeria ana umri wa miaka 35 ni miongoni mwa wale ambao wanachezesha pia Ligi Kuu ya Algeria.

  - Ad Keep reading below -

  Rekodi zinaonyesha kuwa alianza kazi hiyo mwaka 2010 na mpaka mwaka 2020  amechezesha jumla ya mechi 115 za ligi ya Algeria akiwa ameonyesha jumla ya kadi 390 za njano na kadi 18 nyekundu.

  2020 kwenye mashindano ya Caf alichezesha fainali kati ya Al Ahly dhidi ya Zamalek na ubao ulisoma Al Ahly 2-1 Zamaleck.

  - Ad Keep reading below -

  Katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi kati ya Al Ahly v Simba timu zote mbili zimetinga hatua ya robo fainali ambapo kwenye kudni A, Simba ni vinara na wana pointi 13 huku Al Ahly wakiwa na pointi 8.

  ALSO READ  Wenyeviti Serikali za Mitaa watakiwa kuwa Wazalendo

   

  ALSO READ  Nphet confirms no new deaths and 384 Covid-19 cases in Republic
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Ministry Plans Monthly Cash for Jobless Kenyans in 5 Counties

  The Ministry of Labour has offered hope for Kenyans who were rendered jobless as a result of the government's directive to lock down 5 counties...

  Twitter Unveils Algorithmic Fairness Initiative to Offer More Transparency in Its AI

  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -