Michezo (Swahili)

Mwijaku: Tanzania kuna lebo mbili tu kubwa za muziki, Konde Gang na Kings music ntawanunulia hisa wasanii wake (+ Video)

Mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku ametangaza kuwanunulia hisa wasanii wa lebo Konge Gang ya Harmonize na Kings Music ya Alikiba, nawanunulia wasanii watatu wa Konde Gang na wasanii watatu wa Kings Music.

Wasanii wa Konde Gnag ni Anjella, Killy na Ibraah lakini wasanii wa Kings Music ni Abdukiba, Tommy Flavour na K2ga hizi ndio lebo kubwa Tanzania.

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button