in

Mwijaku: Tukubali tukatae kwa sasa lebo kubwa ni mbili tu Konge Gang na Kings music wengine vikundi vya wahuni tu (+ Video)

Akiongea na wana habari Mwijaku ameeleza kuwa kuna kundi la watu wenye wivu na mafanikio ya Harmonize kila siku wanatafuta namna ya kutengeneza habari mbaya ili kumharibia mipango yake.

Ameongeza kuwa amemshauri Harmonize mwezi huu wa Ramadhani aache ushirikina amrudie Mungu kwa ajili ya maombi, huku akitanambaisha kuwa kwa sasa lebo za muziki Tanzania ni mbili tu @kondegang chini ya Harmonize na @kingsmusicrecords chini ya Alikiba zile zingine ni vikundi vya wahuni.

 

Murgor Hits Back at His Family Members During CJ Interview

Stocks Open Higher; S&P 500 Heads for Another Weekly Gain | Business News