AfricaSwahili News

Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye simu janja za mkononi- Waziri wa fedha

 

“Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye simu janja za mkononi, vishikwambi na modemu ili kuhamasisha matumizi ya huduma za mawasiliano ili kufikia lengo la asilimia 80 ya watumiaji wa intaneti ifikapo mwaka 2025″ – Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigilu Nchemba

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button