More
  - Advertisement -

  Nay aijibu BASATA "Siwezi badili chochote"

  -

  - Ad Keep reading below -

  Rais wa kitaa Nay wa Mitego amenyoosha maelezo kufuatia taarifa za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kuukataa wimbo wake na kumtaka aurekebishe kwa sababu una ukakasi hivyo haufai kwenda hewani.

  Akizungumzia hilo kwenye show ya Planet Bongo ya East Africa Radio Nay wa Mitego ameeleza kuwa

  - Ad Keep reading below -

  “Wimbo wameukataa wanasema una ukakasi nifanye marekebisho, sasa mimi tayari nishafanya video na kila kitu, nilisikiliza kitu ambacho wametaka nirekebishe au nitoe kwenye wimbo ndio content yenyewe, nikitoa itakuwa sio wimbo tena ni Gospel”

  “Nia yangu ni kuhamasisha wakina mama kwamba wanaweza kufanya kitu ndio kikubwa nilichokizungumza kwenye wimbo, sikutegemea utaonekana una tatizo, baada ya kuja jibu hilo nikasema siwezi kubadilisha chochote bora niachane nao japo inauma na nimepata hasara”

  - Ad Keep reading below -

  Aidha msanii huyo ameendelea kusema “Natamani Mama atakuja kusikia na ataona kabisa watu kiasi gani wanakurupuka, waliokaribu na Mama naomba wamwambie tu nampenda kuliko mtu yeyote anavyompenda, namjali na nina kitu kwa ajili yake lakini watu hawataki kusikia”.

  ALSO READ  Balozi Seif: Wawakilishi wa CCM kusambaza Barakoa katika majimbo yao hivi karibuni

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Dhana ya Uchumi wa Buluu inavyokwenda kuwafaidisha Wazanzibar

    Na Thabit Madai, Zanzibar. SI Ajabu tena kusikia neno Uchumi wa Buluu visiwani hapa ambapo ikiwa na maana kuwa ni shughuli zote za Uendelezaji na...

  Mzalendo Halisi: Utani wa Jadi uwe chachu ya kukuza soka letu (+VIDEO)

  ”Natamani sana msimu unaokuja wa Michuano ya Afrika Simba ikutane na Yanga Nusu Fainali, natamani timu zetu nyingi zishiriki mashindano ya CAF.”- Mzalendo Halisi ”Utani...

  Jumuiya ya kimataifa yaelezea wasiwasi juu ya ghasia za Jerusalem

   Jumuiya ya kimataifa imeelezea wasiwasi mkubwa juu ya ghasia zinazoendelea mjini Jerusalem, siku moja baada ya makabiliano baina ya polisi wa Israel na Waplestina...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: