Msanii wa muziki Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo Acha Niongee ambao umezua gumzo mtandaoni. Rapa huyo kupitia wimbo huo amezungumzia mengi magumu anayopitia kupitia muziki wake.

 

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles