More
  - Advertisement -

  Pato la Taifa lakuwa kwa asilimia 6- Waziri wa fedha

  -

  - Ad Keep reading below -

  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema tathimini za utekelezaji wa mpango wa pili wa maendeleo ya  taifa limeonesha kuwa pato la taifa lilikuwa kwa asilimia 6.9.

  Dkt.Mwigulu amesema hayo akiwasilisha mapendekezo ya mpango wa Mpango wa  wa tatu wa maendeleo ya taifa wa miaka mitano ambapo amesema mpango huo una lengo la kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu.

  - Ad Keep reading below -

  “Kuhusu tathimini na utekelezaji mpango wa maendeleo ya taifa  uliopita inaonesha kuwa katika kipindi cha utekelezaji cha miaka minne pato la taifa lilikuwa kwa 6.9%  mfumuko wa bei ulikuwa wa wastani 4.1%  kwa mwaka, ikiwa ndani ya lengo la kutozidi asilimia 5,” amesema Dkt.Mwigulu

  Awali kabla ya kuwasilisha mapendekezo hayo Dkt. Mwigulu alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uteuzi katika nyadhifa aliyompa na kusema kuwa uteuzi huu unadhihirisha Rais ana imani kubwa na wana yanga

  - Ad Keep reading below -

  “Mhe. Spika uteuzi wa Makamu wa Rais na uteuzi wangu umeonyesha Mhe. Rais ana imani kubwa sana na wana yanga hasa ukizingatia historia ya ukombozi wa taifa hili,” amesema Dkt.Mwigulu

  ALSO READ  Lockdown likely to last well into next month, FG meeting hears

  ALSO READ  New vice unit brings 71 extra charges against man accused of running brothels

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  WHO Chief Says COVID-19 Infection Rate Approaching Highest of Pandemic So Far | Top News

  GENEVA (Reuters) - The number of new COVID-19 cases per week has nearly doubled globally over the past two months, approaching the highest...

  AUDIO | Raph Tz Ft. Rich Kiss – Sema | Download

  Download | Raph Tz ft. Rich Kiss –...

  Lukwago’s life out of danger

  Doreen Nyanjura ...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -