More
  - Advertisement -

  Putin, Merkel waelezea wasiwasi kuhusu mvutano wa mashariki mwa Ukraine

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Rais wa Urusi Vladmir Putin na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel wameelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa mivutano mashariki mwa Ukraine. 

  Mazungumzo yao ya njia ya simu leo yamekuja wakati makabiliano kati ya wanaharakati wanaopigania kujitenga wakiungwa mkono na Urusi na wanajeshi wa Ukraine yakiongezeka katika wiki za karibuni, nalo jeshi la Urusi likijikusanya katika mpaka wa nchi hizo hali iliyoongeza hofu ya mgogoro huo kuwa mbaya hata zaidi. 

  - Ad Keep reading below -

  Mapema leo, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea uwanja wa mapambano katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo la Donbass. 

  Katika siku za karibuni Zelensky alitoa mwito kwa washirika wa nchi yake wa magharibi kumpa msaada katika mzozo huo. 

  - Ad Keep reading below -

  Merkel na Putin pia walijadili suala la kiongozi wa upinzani Urusi Alexei Navalny ambaye wiki iliyopita alifanya mgomo wa kula gerezani akidai kupewa matibabu bora ya maumivu ya mgongo na tatizo la kufa ganzi kwenye miguu yake. Aidha walijadili mzozo wa Syria na mgogoro wa kisiasa Libya.

  ALSO READ  Nchi za Afrika zakutana Dodoma kujadili malengo endelevu katika nchi hizo
  ALSO READ  No Govt can defeat her citizens, time to pay back – Nnamdi Kanu

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Utapiamlo mkali wapungua kwa watoto mjini Makambako

  Hali ya utapiamlo mkali kwa watoto katika halmashauri ya makambako mkoani Njombe imetajwa kupungua baada ya serikali kuandaa mikakati mbali mbali na kupambana na...

  Job Opportunity at Mwananchi Communications, Freelance Business Executives-Digital

   Freelance Business Executives-Digital Job SummaryTo develop, maintain and increase a solidly dependable client base, to sell advertising space and provide an effective service to clients...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -