AfricaSwahili News

Rais Mwinyi amjulia hali Waziri wa Afya Zanzibar na Wananchi waliolazwa hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanziba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar. Mhe. Nassor Ahmed Mazrui aliyelazwa katika  la Wodi ya Taasisi ya ‘Neurosurgical Institute’ katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali Mtoto Samir Haji akiwa amepakatwa na Mama yake Bi. Zulfa Vuai Mwinyi, alipotembelea Wodi ya Watoto katika jengo la Taasisi ya ‘ Neurosurgical Institute’ katika Hopitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja  Ndg. Said Mussa, aliyelazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa mifupa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.Dr.Msafiri Marijani, alipowasili katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kuwatembelea na kuwajulia hali Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali hiyo.(Picha na Ikulu)

 

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ? Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

Related Articles

Back to top button

AdBlock Detected

If you enjoy our content, Please support our site by disabling your adblocker. We depend on ad revenue to keep creating quality content for you to enjoy for free.