More
  - Advertisement -

  Rais Samia akutana na Mstaafu wa Nigeria Obasanjo

  -

  - Ad Keep reading below -

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo May 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo.

  Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma ambapo Rais Mstaafu Obasanjo ametoa salamu zake za rambirambi kwa Rais Samia kufuatia vifo vya waliokuwa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Hayati Benjamin William Mkapa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli waliofariki dunia tarehe 23 Julai, 2020 na tarehe 17 Machi, 2021 mtawalia.

  - Ad Keep reading below -

  Rais Mstaafu Obasanjo amempongeza Rais Samia kwa kupokea kijiti cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amemtakia heri katika majukumu yake.

  Aidha, katika mazungumzo hayo viongozi hao wamezungumzia hali ya usalama Barani Afrika na umuhimu wa Wakuu wa Nchi kujadiliana na kutafuta suluhisho la migogoro hiyo ambayo inasababisha vifo vya watu wasio na hatia hasa wanawake na watoto.

  - Ad Keep reading below -

  Pia viongozi hao wamezungumzia masuala ya maendeleo hasa katika uchumi na kusisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuongeza ushirikiano na kuondoa vikwazo vya biashara na uwekezaji.

  ALSO READ  Bandits kill 2, injure 6 in Kaduna
  ALSO READ  South Sudan Students, Teachers Back in School After 14-month Lockdown | Muhabarishaji News Agency

  Β 

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Red Cross lacking partnership of Taraba Govt – Scribe

  The leadership of the Taraba State branch of the Nigeria Red Cross has lamented what it called the lukewarm attitudes of the state government...

  Filming of Disney sequel Disenchanted to begin in Irish locations on Monday

  Filming on the much anticipated sequel to the Disney hit Enchanted is to begin on Monday. Disenchanted, the live-action/animated musical romantic comedy is the follow-up...

  Iran coronavirus update: 14k news cases, 386 deaths

  TEHRAN, May 09 (MNA) – According to the Iranian Health Ministry, 14,141 new COVID-19 infections have been detected across the country in the past...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: