in ,

Rais Samia awasiliana na kwa video na Boss IMF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao (Video Conference) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani IMF. Kristalina Georgieva Ikulu Chamwino leo May 3, 2021.

In Colombia, 17 Dead in Pandemic-Related Protests

Waziri Mkumbo atinga TBS “hakuna sababu ya msingi kupandisha bei ya mafuta”