More
  - Advertisement -

  Rais wa Kazakhstan achomwa chanjo ya Covid-19

  -

  - Ad Keep reading below -

  Rais wa Kazakhstan Kasım Cömert Tokayev, amechomwa chanjo ya Sputnik-V iliyozalishwa dhidi ya corona (Covid-19).

  Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Kazakhstan Berik Uali alisema katika taarifa yake aliyoitoa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Tokayev alijisikia vizuri baada ya kupewa chanjo.

  - Ad Keep reading below -

  Akielezea kwamba Tokayev alipewa chanjo ya Urusi ya Sputnik-V iliyozalishwa katika Kituo cha Dawa cha Karagandı kilichoko nchini, Uali alisema,

  “Rais anatoa wito kwa raia wetu wote kupata chanjo ya Covid-19 wakipata fursa ya kwanza.”

  - Ad Keep reading below -

  ALSO READ  CWT yaahidi kufanya mapinduzi katika soka hapa nchini - Alawi
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  4 Job Opportunities at Tanga-UWASA – Water Laboratory

  Zionist regime behind Natanz incident: Vaezi

  TEHRAN, Apr. 14 (MNA) – Iranian President's Chief of Staff blamed the Tel Aviv regime for having a hand in the recent Natanz incident....

  JUSUN strike: Many languishing in prison, police custody – Lawal

  Soldiers, late Tuesday, battled Boko Haram insurgents as they attempted to take over their base in Damask. A resident of Damasak town, in Mobbar local...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -