More
  - Advertisement -

  Rais wa shirikisho la soka Ujerumani Keller ahimizwa kujiuzulu

  -

  - Ad Keep reading below -
   

  Rais wa shirikisho la kandanda Ujerumani – DFB Fritz Keller anakabiliwa na wito wa kumtaka ajiuzulu baada ya kumlinganisha mmoja wa mamakamu wake na jaji aliyekuwa na sifa mbaya wa enzi ya Manazi Roland Freisler. 

  DFB imesema jana kuwa marais wa vyama vyake vya majimbo na mikoa walipiga kura ya kutokuwa na imani na Keller mwenye umri w amiaka 64 na kumtaka ajiuzulu ili kuepusha uharibifu zaidi kwa shirikisho hilo. 

  - Ad Keep reading below -

  Katika mkutano usio wa kawaida ulioandaliwa mwishoni mwa wiki mjini Potsdam, vyama hivyo pia viliondoa imani yao kwa katibu mkuu Friedrich Curtius, ambaye amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu wa madaraka na Keller. 

  Taarifa ya DFB imesema vyama vya kandanda Ujerumani vinalaani kauli aliyotoa Keller mnamo Aprili 23 kwa kumlinganisha makamu wa rais Rainer Koch na jaji wa manazi Freisler.

  - Ad Keep reading below -

  ALSO READ  Tulia Ackson Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini
  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Shocking Leicester display raises serious questions about ability to handle pressure

  Leicester's top-four hoodoo returned as they collapsed in the 4-2 loss to Newcastle United.

  Postpone LG election to avoid another legal gymnastics – ex-Oyo Gov, Alao-Akala tells Makinde

  A former Governor of Oyo State, Chief Christopher Adebayo Alao-Akala, has advised the incumbent Governor, Engineer Seyi Makinde, to without wasting more time, postpone...

  FBI hails EFCC for efforts on global crime war

  The Federal Bureau of Investigation (FBI) considers the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) a critical partner in the global fight against organized crime...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -
  %d bloggers like this: