in

Rayvanny: Nasikiliza sana muziki wa Alikiba hasa wimbo wa Dodo

Akiongea katika kipindi cha The Switch kinachoruka wasafifm  Rayvanny amesema kuwa “Lakini nishawahi kuongea kwenye interview napenda wimbo wa Alikiba #Dodo, mimi mwenyewe nasikiliza muziki wake, sina matatizo na yeye” – @rayvanny

Rayvanny: Harmonize alikuwa ananirekodi bila mimi kujua kama tunaongelea mapungufu ya Diamond tukiwa wawili (+ Video)

Iranian film to vie at Cannes World Film Fest.